Jamani rais Maghufuli sio wa mchezo.
Anaijenga na kuifuma nchi Hii kwa Kasi ya ajabu. Nmeshuudia kwa macho yangu upanuzi wa Uwanja wa ndege wa mwanza Kama alivyoahidi kwenye kampeni.
Anachokifanya Rais kwa kipindi hiki ni kuifanya nchi kuwa accesble pande zote. Hii ni moja ya vitu muhimu Sana kabla ya kuanzisha viwanda. Huwezi kuwa na viwanda wakati usafirishaji ni zero.
Na ukimwangalia vizuri anawekeza kwenye elimu ya science na ujenzi. Baada ya hapa Anaingia kwenye kilimo ambacho kwa mwaka huu mvua imekua tatizo. Kwa nchi maskini Kama Hii lazima uwe na vipaumbele.
Na cha kwanza ni accesbility na elimu. Pesa haionekani mtaani kwa sababu inatumika kwenye miradi ya nchi. Hata barabara ya Kwenda igoma nmeona inapanuliwa. Kwa Wenye jicho dogo hawatoelewa. Maghufuli ana dira na I can see it