Uwanja wa ndege Bukoba.

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
1,958
2,000
JE? UNAJUA MADHALA YALIYOTOKANA NA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE BUKOBA?
Wakati wa awamu ya nne ya utawala wa Ccm Bukoba tukiwa na Mbunge mbabe Amis Kagasheki alilazimisha kujenga uwanja wa ndege (kupanua) kwa gharama kubwa uku wachambuzi wa maswala ya kijamii tukishauri nakuonyesha athari zitakazojitokeza baada ya upanuzi uo.
1.Nyumba za watu kupata nyufa kutokana na milipuko ya baruti.
2.Shule zetu kufungwa kutokana na kerere za ndege kubwa wakati wa kuondoka na wakati kutua,
3.Kufungwa Barabara kuu ya Kashai na kusababisha kero mzunguko mrefu kwa wakazi wa maeneo hayo.
4.Kulazimika kujenga shule nyingine kwenye mitaa tofauti na wakazi.
5.watoto kutembea mwendo mrefu kwenda shule ambapo zitajengwa
6.Serkali kupata asara ya Waalimu kwa kindi ambacho Shule zinajengwa.
7.Kuwaathiri watoto kisaiklojia
8.Barabara ya uwanja wa ndege kuwa moja na inayotumiwa na wakazi wa Kashai, Nyamkazi, Kahororo na maeneo mengine.
8.Kubana mji na kupoteza flsa za ajira n.k.
9.Shule zitakapojengwa mitaani kutokuwa na viwanja vya mchezo,
10.Kelele za ndege kutokana na uwanja kujengwa katikati ya makazi ya watu nasababu nyingine nyingi.
Ata hivyo Ccm nambunge wao mbabe Hamis Kagasheki walitubeza nakudai watajenga underground na kuhamisha maji ya ziwa hadi Musira utadhani walikua na ela. Kibaya zaidi ata wananchi tuliokuwa tukiwatetea wengiwao walikuwa ni makada wa Ccm hawakutaka kutusikiliza leo wamegeuka vioja eti uwanja wa ndege haufai kuwakatikati yamji! Unafiki wa PHD.
 

Attachments

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,389
2,000
Wanasemaje tena mkuu, ngoja nivute mkeka kabisa, hebu fwafwanua chidogo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom