Uwanaume hela

Mkuu fanya maendeleo yako binafsi kwanza, ukipata kiajira anza kutimiza zile ndoto zako ulizokuwa kuwa pindi unasoma, au ukiwa mtoto, mademu wapo tu...

Waache mkuu hawa ni watoto wa form6 ndo kwanza wameanza mapenzi wala hawajuhi maana ya maisha ni nini ..si unajua sahivi kwa wasio na fikra mapenzi kwao ni kama chungu kaona kivuno
 
Basi nahisi umesahau kitu cha msingi na tofauti iliyopo kati ya mwanamke na mwanaume.

Kuwa na mapesa then ushindwe kutiza sexual needs za mwanamke, huone watakavyo kudharau twice ukiwa broke.
Hatuzungumzia ufala, tunazungumzia ukwasi,maadam anatowa hela sexual needs ni bidhaa ya mitaani tu.
 

mwanaume hela timbalend mbwembwe
 

mwanaume hela timbalend mbwembwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…