Kabisa pacha. Wengine tunafamilia humu na hizi promo za aina hii ni shida nyengine.....
Kwani mkuu huna habari kuna mkuyati?
Kweli mkuu,tatizo watu wanatunga tu misemo bila kujua wahusika wanafeel vipi kwenye hiyo hali
Pessa tu inanitosha kunipa promo! Tukisimama mimi na wewe (pamoja nao u handsome wako) ninauhakika nzi atatua kwangu!
Inauma kuambiwa huna hela. Sababu kudinda ni ugonjwa (hali inayo kutokea bila kupenda) Lakini kukosa fedha sio ugonjwa ni UZEMBE. Tafuta pessa ukae barazani, kama we ni mvivu endelea kukata vitunguu uwani na dada zako.hivi mwanaume kuambiwa huna pesa na kuambiwa husimamishi ipi inauma?
Hahaha mkuu unajipiga promo "kisaikolojia"
Unaweza kuwa na pesa akaja mjanja na kuzichukua.
Inaelekea mkuu nimekugusa kwenye masabuli nini? Au nawewe ndio kati ya hao wenye matatizo hayo? Kama ndio, usijali! huo ni ugonjwa tu. Tafuta pessa hata kwa vidole hawakataiKweli mkuu,tatizo watu wanatunga tu misemo bila kujua wahusika wanafeel vipi kwenye hiyo hali
Hawaon watu, wenye mapesa yao wanavyo hangaika kuimarisha uanaume wao kwa madawa??
Inaelekea mkuu nimekugusa kwenye masabuli nini? Au nawewe ndio kati ya hao wenye matatizo hayo? Kama ndio, usijali! huo ni ugonjwa tu. Tafuta pessa hata kwa vidole hawakatai
Uanaum upo kwenye uume zingine mbwembwe
Hawana pessa hao! Kwanza watafute pessa kisha ndio wahangaikie kudinda. Bila pessa watamdindia nani?
Kwahiyo ata *****? maana hata yeye anao uume na wengine unadinda kama kawa, lakini wanapumuliwa mgongoni. Mkuu amini ninacho kuambia kiume pessa kudinda hata mtoto akitoka haja kubwa hudinda pia.
Hewalla!!! Na ukizidi kuwanazo unalisha mwanaume mwenzako. Majanga kweli.Kitambo nilidhani ubaya wa sura yangu ndio chanzo cha kutoswa na watoto wazuri! Kumbe hapana, ni pessa tu nilikua sina. Lakini tangu nianze kaajira kangu, mbona madem nishasahu kutongoza? Zakia alishawahi niambia sina mvuto kisa tu nashinda na CHAMPOGO, lakini sasahivi yeye ndie amekua kero kwangu, hata jina kani badili ananiita MZUNGU. Amakweli kiume fedha kudinda ugonjwa.
Mbele ya wanawake anabaki kuwa mwanaume, kisa pesa.Sasa mkuuu, mtu akishakuwa ***** sio mwanaume tena. Kwani machoko wenye hela ni wanaume? Au majimam wanaohonga ni wanaume??