pacha kumbe umegunduaHahaha mkuu unajipiga promo "kisaikolojia"
pacha kumbe umegundua
ngoja tuongee na invisible thread iwe hiddenPacha nimeioa hiyo. Hapa nilipo naomba sana mwanangu asipite mitaa hii.....
ngoja tuongee na invisible thread iwe hidden
hivi mwanaume kuambiwa huna pesa na kuambiwa husimamishi ipi inauma?
Kunasiku nilikamatiaga mama moja hivi! (Kukisia anafika 45 anos) bila haibu njia nzima alikua ananiita" BWANA MKUBWA" kimoyoni nikajisemea "huna lolote pessa tu" .
Uanaum upo kwenye uume zingine mbwembwe