Uwajibikaji

Kihodombi

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
39
Reaction score
7
Chonde kwa wabunge wazalendo,hebu hojini kuhusu huu mgao wa umeme na kuhusu wizi wa vifaa vya magari,je wahusika wameshindwa kazi?
 
Uwajibikaji ni tusi kwa Tanzania. Nani amwajibishe nani wakati mgao umegeuka sehemu ya maisha. Laiti wangewajibishwa watu walioleta madudu kama Richmond (Lowassa) na IPTL (Kikwete). Lakini nani atamwajibisha nani wakati wote ni wale wale? Wabunge wa upinzani walishashupaa sana juu ya hili na kuzimwa na magamba ambayo ni mengi bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…