UVUVI WA SAMAKISENTIMETA 85 RUKSA

Sipati picha huko Musoma, Bukoba, Mwanza, Ukerewe kuanzia usiku huu kwa ruksa hii jinsi wavuvi wanavyopagawa.
 
Wavue tupate chakula mwezi huu vyakula adimu
Asante serikali kwa kutujali tuliofunga
 
Hii serikali ya ajabu sana sasa zile operation ambazo zilipelekea kuchomwa kwa nyavu na makokolo za wavuvi ziliruhusiwa na nani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…