Wilson Leguna Senior Member Joined Feb 22, 2017 Posts 104 Reaction score 92 Oct 21, 2018 #1 Wadau...mwenye uelewa wa kwann chainsaw inazuiliwa kuvuna mbao ktk misitu ya tz hasa mikoa ya kusini mwa tz...na wanatakiwa watumie nyenzo gani? Nilifikiri chainsaw inawapunguzia ugumu wa kazi...
Wadau...mwenye uelewa wa kwann chainsaw inazuiliwa kuvuna mbao ktk misitu ya tz hasa mikoa ya kusini mwa tz...na wanatakiwa watumie nyenzo gani? Nilifikiri chainsaw inawapunguzia ugumu wa kazi...