Jadka Member Joined Jul 27, 2018 Posts 56 Reaction score 27 Sep 8, 2018 #1 Salamu wadau kuna shetani kawaingia wanawake SKU hiz jamani hawana uvumilivu KBS,urafik uchumba ndoa imekuwa shida kuendsha maana wadada uvumilivu hakuna huwii!!!!!
Salamu wadau kuna shetani kawaingia wanawake SKU hiz jamani hawana uvumilivu KBS,urafik uchumba ndoa imekuwa shida kuendsha maana wadada uvumilivu hakuna huwii!!!!!
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Sep 8, 2018 #2 Wewe unaweza kuvumilia Mwanamke pasua kichwa?
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,498 Reaction score 27,813 Sep 8, 2018 #3 , tukutafutie??
Jadka Member Joined Jul 27, 2018 Posts 56 Reaction score 27 Sep 8, 2018 Thread starter #4 fundi bishoo said: , tukutafutie?? Click to expand... Nitafutie
Carlos The Jackal JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 29,337 Reaction score 93,995 Sep 8, 2018 #5 Jadka said: Salamu wadau kuna shetani kawaingia wanawake SKU hiz jamani hawana uvumilivu KBS,urafik uchumba ndoa imekuwa shida kuendsha maana wadada uvumilivu hakuna huwii!!!!! Click to expand... Ukizijua nyakat tulizonazo wala husumbuki kuumizwa kichwa kuhoji uvumilivu badala yake utajikita kutafuta mwenye uhafadhali wa kuvumilia.
Jadka said: Salamu wadau kuna shetani kawaingia wanawake SKU hiz jamani hawana uvumilivu KBS,urafik uchumba ndoa imekuwa shida kuendsha maana wadada uvumilivu hakuna huwii!!!!! Click to expand... Ukizijua nyakat tulizonazo wala husumbuki kuumizwa kichwa kuhoji uvumilivu badala yake utajikita kutafuta mwenye uhafadhali wa kuvumilia.
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,618 Reaction score 18,557 Sep 8, 2018 #6 Hiki ni kizaz kilicholaaniwa