Uvumilivu ukikushinda hakika mimba hutoishinda kuibeba.Habari za sahizi
Mimi ni binti nina miaka 22 sasa
Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata
Naona kama naelekea kushindwa naomba mniweke kwenye dua zenu niendelee kuwa na subira na kujituliza ili ndoto yangu itimie
Mnishauri nifanye nini nisije kumkosea Mungu na kuingia majaribuni
Wacha bwanaHabari za sahizi

Yes ya dar kwa makondamafuriko dar
AiseeeeYes ya dar kwa makonda
Sipati picha PM yako ilivyojaaHabari za sahizi
Mimi ni binti nina miaka 22 sasa
Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata
Naona kama naelekea kushindwa naomba mniweke kwenye dua zenu niendelee kuwa na subira na kujituliza ili ndoto yangu itimie
Mnishauri nifanye nini nisije kumkosea Mungu na kuingia majaribuni
Aisee watakuonea Wivu wanawake wenzio humu wengine wakishatangaza wana watu wao lakini bado wanachezewa na Ndoa Feki....hongera zako Bidada....Habari za sahizi
Mimi ni binti nina miaka 22 sasa
Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata
Naona kama naelekea kushindwa naomba mniweke kwenye dua zenu niendelee kuwa na subira na kujituliza ili ndoto yangu itimie
Mnishauri nifanye nini nisije kumkosea Mungu na kuingia majaribuni
Ya mbele na nyuma na juu na chini na ya kulia na ya kushotk
mm Sabrina hebu toa neno kwa huyu bint kabla shetani hajaingilia cha katikatiYes ya dar kwa makonda
In Shaa Allah Allah akupe subira ushinde majaribu. Usikae faragha na mwanaume hiyo ndo njia pekeeHabari za sahizi
Mimi ni binti nina miaka 22 sasa
Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata
Naona kama naelekea kushindwa naomba mniweke kwenye dua zenu niendelee kuwa na subira na kujituliza ili ndoto yangu itimie
Mnishauri nifanye nini nisije kumkosea Mungu na kuingia majaribuni
Mi simfati hata maana sitafuti bikra bali penzi la kweli. Kwetu wengine bikra sio ishu ya msingi kabisa aisee. Kwanza hata ukiitoa sidhani km utahisi chochote zaidi mwanamke ndo atahisi maumivu labda maana sina uzoefu wa kitoa hivyo vitu. Lakini ni vizuri mwanamke kuitunza kwa ajili ya mumewe...Naona pm yako leo mambo ni motroooooo bikra anaijua jf why?