Uvumilivi unanishinda

Zamani maovu chanzo ni influences za marafiki lakini kwasasa+ni mitandao ya kijamii
 
Nafasi ya pili uko tayari???
Jibu haraka.
 
Wewe ni ndugu yake Bambo? angalia hapo kwenye Bold
 
Njoo PM mara moja binti...kuna kitabu nataka kukupa
 
Kama unayoongea ni kweli basi mungu akupe hitaji la moyo wako, ila kama ni uongo laana ikujilie mbele, nyuma, juu, chini, kulia ,kushoto. Ila wasiwasi wangu utakuja kuangukia kwa mwanaume malaya asiyejali, na possibly ndoa yako ya kwanza itavinjika, na usipoangalia hata ya pili itavunjika. Maana usipofanya vurugu utotoni na uschanani basi utazifanya ukizeeka. So nakushauri shusha tu pichu mama watu wale tunda la roho
 
Jimbo limepata mbunge
 
Kuwa busy n mambo yako, fanya mazoezi, punguz vyakula vinavyoupelekea mwili mshawasha. Endelea kujitunza hadi utakapompata mtu sahihi(mumeo).

Kubwa zaidi kuwa karibu mnooo na Mungu wako.
 
Sio wa kuolewa nae hujampata, tatizo masharti yako ndiyo yanakuchelewesha kuolewa.

We eti hutaki kugawa papuchi mpaka uolewe nani atakubali?? Halafu uje kuniuzia mbuzi kwenye gunia??

Kama una jinsia mbili je? Nitajuaje?? Punguza masharti hayo masharti ni vikwazo kwako kupata mchumba wa kuolewa nae.

Vinginevyo utabaki na bikra yako mpaka over 40years.

Ila nakuombea mkuu endelea kukaza na MUNGU akusaidize uvishinde vishawashi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…