alhumaira 196
Member
- Apr 8, 2018
- 16
- 22
Ya mbele na nyuma na juu na chini na ya kulia na ya kushotkUna bikira ipi sasa...mbele au nyuma?!
Aisee wewe jitunze tuu hakuna namna dunia imeharibika Dada mapenzi yapo sanaHabari za sahizi
Mimi ni binti nina miaka 22 sasa
Nimefanikiwa kujitunza mpaka sasa sijawahi kufanya mapenzi bad bikra na ninatamano sana nikae hiyo mpaka nitakapoolewa lakini wa kunioa sijampata
Naona kama naelekea kushindwa naomba mniweke kwenye dua zenu niendelee kuwa na subira na kujituliza ili ndoto yangu itimie
Mnishauri nifanye nini nisije kumkosea Mungu na kuingia majaribuni
SaawaAisee wewe jitunze tuu hakuna namna dunia imeharibika Dada mapenzi yapo sana
Ya mbele na nyuma na juu na chini na ya kulia na ya kushotk
Mark my words Dada huu mchezo una mambo mengi sana ya kufurahisha na kukera take care utapoteaSaawa
Ni kweli sawaJitunze zaidi na Mungu atakupa wa kufanana na wewe..husiwe na haraka umri wako bado mdogo
Naomba nikusaidie kuitunza hiyo bikra, tena tuta funga kwa pamoja tukiwa chmbani mimi na wewe huku tukifanya Duah.... tehteehhhHabari za sahizi