Uvumbuzi wa choo

mzee wa ngada

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
693
Reaction score
293
Choo hiki kinageuza kinyesi na kutumia kwa ajili ya kunywa na kupikia..! To a maoni yako..
 
wavumbuzi/gunduzi wanatumia hiyo end product inayozalisha na hicho choo?

microsoft naye nilisikia anaproject ya kubadilisha kinyesi kuwa maji ya kunywa(kama sikosei) sijui huo mradi uliishia wapi
 
Wangevumbua cha kuifanya hiyo end product iwe juice, dah ingefaa sana!
 
Ajabu ni kwamba utakikuta supermarket na lebo yake nzuuri bila shaka utalipa na kupewa risiti (vigezo na sera kuzingatiwa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…