Nyumba ndogo wengine huita kidumu, wengine kigango n.k.
Kwa kushindwa kuwa mbunifu mwanamke au mwanaume kwa mwenza wako, utasaidiwa tu. kila siku wewe wa aina hiyo hiyo ukiambiwa geuka hivi ohooooo naumia....nimechoka...tutajaribu siku nyingine. Mara ohooo nani kakufundisha....umejifunza wapi...!
Hata chakula cha pishi la aina moja daima linachosha sana.
Mpe mwenzio nafasi ya kujaribu jambo jipya uenda likakupa raha. Nawe kuwa mbunifu kwa ajili ya kumfurahisha mwenza wako.
Hizo nyumba ndogo hazifanyi makosa kabisa, daima zinajifunza kitu kipya. wewe ukiambiwa nimechokaa....naumiaa.....endelea hivyo hivyo kuchoka na kuumia. matokeo utayaona tu