Du Bois ideas JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 427 Reaction score 83 Jul 21, 2013 #1 Wana Jf, Naomba kufahamu, hivi uchaguzi wa H/mashauri ya Uvinza umekwendaje. kati ya CDM na NCCR nani ametoa M/kti wa H/mahsauri? Nafikiri Makamu M/kiti atakuwa ametoka CCM kwa kuwa ndio waliorudisha fomu ya Makamu
Wana Jf, Naomba kufahamu, hivi uchaguzi wa H/mashauri ya Uvinza umekwendaje. kati ya CDM na NCCR nani ametoa M/kti wa H/mahsauri? Nafikiri Makamu M/kiti atakuwa ametoka CCM kwa kuwa ndio waliorudisha fomu ya Makamu
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 143,740 Reaction score 290,584 Jul 21, 2013 #2 mkuu kuna uzi humuhumu unazungumzia hayo masuala ni bora ungebonyea huko .