Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,147
- 2,630
Huu uvimbe huwa unatokea wakati wa kulala tu, wakati wa kuwa macho uvimbe unapotea unabaki kama uwekundu fulani hivi na uvimbe kwa mbaaaali, na ukiuminya huo uvimbe hakuna maumivu wala hakuna ugumu, ni kama vile unaminya kitu chenye umajimaji kwa ndani, huu unasababishwa na nini? Nini tiba yake ili uvimbe upotee mazima?
Naombeni msaada...
Naombeni msaada...