PreGE2025 UVCCM yawataka vijana kuwanenea mazuri viongozi wao

PreGE2025 UVCCM yawataka vijana kuwanenea mazuri viongozi wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Iringa Vijijini, Elia Juma Kidavile, ametoa wito kwa vijana wa kuwanenea viongozi wao mazuri kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya katika kuleta maendeleo kwa wananchi. akiongeza kuwa viongozi hao wamekuwa mstari wa mbele katika utekelezaji wa miradi mbalimbali , ikiwemo katika sekta za elimu, afya, na jamii, ambayo imesaidia kuboresha maisha ya wananchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kidavile ameyasema hayo Aprili 3 , 2025 alipokuwa akizindua shina la bodaboda la UVCCM kata ya Mboliboli, tarafa ya Pawaga, Wilaya ya Iringa. Uzinduzi huo ni sehemu ya ziara ya kamati ya utekelezaji ya UVCCM Wilaya ya Iringa Vijijini.
 
Back
Top Bottom