Hata akisimama rais mstaafu unayemjua wewe kwa tiketi ya ssm mby mjn hapiti
Vyanzo vya karibu na mbunge huyo vinasema kuwa ameshapoteza matumaini na kwamba anajipanga kutogombea tena jimbo hilo ambapo kuna kila dalili kuwa atapoteza pesa yake na Vijana wameshaamua kumpinga.Sugu kazi anayo mwaka huu, huku uchaguzi, kule Faiza Ally.
Vijana wa Mbeya tumeshaamua na tumejipanga...waswahili wa sasa wana msemo wao maarufu, unasema "Ngariba haogopi Mkojo" na hivyo ndivyo tunavyosema Vijana wa Mbeya..
Hata akisimama rais mstaafu unayemjua wewe kwa tiketi ya ssm mby mjn hapiti
Tena inabidi wafanye kama kusahau mby mjini kurudi mikononi mwao chama cha majambazi
Umesikia Sugu analia bungeni.