UVCCM wamvaa Lowassa, Maalim Seif

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
12,485
50,898
d17ed453132d34bc4b76d6461cbc095e.jpg


Wasema alete ushahidi wa ushindi wake wa matokeo ya uchaguzi 2015.

Wasema anatafuta huruma ya wananchi na ukweli anaujua kuwa alianguka.
 
ila kiukweli lile lidubwana wanalo pitishaga linawaka ndio unaowazubaisha watu, basi kunaumuhimu kuachana nao, maana unakuta mtu anashangilia tu hatakama anatukanwa, hii ni hatari sasa.
 
Kama wanabisha wamuache jecha atembee kwa uhuru Mitaa mbalimbali ya zanzibar waone wananchi watakavyomgawana kama chapati za azam
 
uvccm kati ya vijana wasio jitambua ni hawa wenye hili JINA uvccm hata michango yao hapa jukwaani inafanana na akili zao.
 
Kabla ya uchaguzi, pigeni kura muende nyumbani kura zangu haziibiwi ----------Lowasa


Baada ya uchaguzi tumeshinda ila tukaibiwa kura zetu --------- Lowasa


???!!!!!

Ndio maana wafuasi wake hawajielewi ni Nyumbu.
 
Back
Top Bottom