UVCCM wakosa agenda na kujikuta wanakuwa kama viongozi wa wapinzani

Mwene chungu

JF-Expert Member
Nov 12, 2016
915
752
Salute amis!..

UVCCM waliitisha jana tr 31/03/2017 press-conference ambayo kimsingi ilijikita katika kuongelea ustawi wa democrasia nchini hususani katika mchakato wa kupata wagombea wa ubunge wawakilishi EAC.

KATIKA HALI ISIYOKUWA YA KAWAIDA walikosa ajenda na kuonesha udhaifu wa hali ya juu haijapata kutokea,na kuanza kuwajadili wapinzani.

Vijana hao ambao ati ndio cream ya vijana wa ccm kitaifa walianza kutoa malalamiko juu ya mchakato uliotumika kupata wagombea wa ubunge wa EAC upinzani kuwa ati haukuwa wa kidemocrasia..

Kama mtakuwa na kumbukumbu alijitokeza SHY-ROSE (CCM) AKILALAMIKA JUU YA MICHAKATO ULIOFANYIKA KUMUENGUA.

Sasa uvccm badala ya kujadali hilo wanamuogopa mwenyekiti wao wanakuja kuwajadili wapinzani.wakati huko hajajitokeza hata mtu mmoja kalalamika.

Sijui kwenye katiba yao wapi imeainishwa wawajadili wapinzani?

Na ccm sio monitor wala msimamizi wa wapinzani mtaanzaje kuongea hayo?....

Huu ninidhaifu wa hali ya juu sana
 
Sijui mpinzani gani alienda kushitaki kwa wale vijana wa ccm au ni ilikuwa kuficha yaliyotokea kwa shy..wamemejikanyaga sijui wandishi wataandika nini tuone.
 
uvccm toka lini wakawa wanajielewa?upuuzi ndio umewajaa kichwani!
 
Bado hawajui siasa vijana wa CCM.
Katibu Mkuu Chadema is no Joke..alijuwa akileta zaidi ya wawili hao ccm watawachagua ambao sio wakali
 
Back
Top Bottom