SautiYaMnyonge
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 439
- 742
Kutoka Dodoma
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Komred kheri Denice James leo ameongoza Kikao Cha Kamati ya Utekelezaji ya UVCCM Taifa Katika Ukumbi wa Sekretarieti Jijini Dodoma.
Pia jumuiya hiyo imewateua Ndugu Leonard Singo kukaimu nafasi ya Katibu wa idara ya uhamasishaji na chipukizi, Ndugu Bilal Maulid kukaimu nafasi ya Katibu wa idara ya Oganaizesheni na Ndugu Asha Feruz kukaimu nafasi ya Katibu wa idara ya vyuo, vyuo vikuu na uhusiano wa kimataifa pamoja na Ndugu Lusekelo Nelson kukaimu nafasi ya Katibu wa idara ya uchumi, uwezeshaji na mipango.