Quicklime Senior Member Joined Mar 30, 2011 Posts 177 Reaction score 64 Jun 3, 2011 #1 Jamani wana jf.kwa mtazamo bila tuition MAPACHA wanaelekea kushinda kwa kuwa uvccm na washirika wake wamekosa ujasiri wa kuthubutu! So ishakuwa tusubiri programu ya kuondoa magamba ngazi ya vijiji wakati wameshindwa kusafisha juu!!
Jamani wana jf.kwa mtazamo bila tuition MAPACHA wanaelekea kushinda kwa kuwa uvccm na washirika wake wamekosa ujasiri wa kuthubutu! So ishakuwa tusubiri programu ya kuondoa magamba ngazi ya vijiji wakati wameshindwa kusafisha juu!!
mashikolomageni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 1,570 Reaction score 193 Jun 3, 2011 #2 CM haina magamba ina ngozi sasa tujiulize inawezekana kijuvua ngozi au ndio itapoteza uhai
THINKINGBEING JF-Expert Member Joined Aug 9, 2010 Posts 2,779 Reaction score 1,304 Jun 4, 2011 #3 Mtu yeyote akikuambia yeye ni CCM usimuamini kwa jambo lolote. CCM wote ni wanamaigizo.