UVCCM Taifa hakukaliki M/kiti kung'olewa?

UVCCM Taifa hakukaliki M/kiti kung'olewa?

Mwaka jana tulionya juu ya mipango iliyoratibiwa na akija Ben Saanane wakishirikiana na baadhi ya wagombea kwa lengo la kuivuruga UVCCM huko baadae.Tulipeleka hadi ushahidi kwa katibu mkuu Wilson Mukama pamoja na majina ya wagombea waliokua wakishirikiana na vijana wa upinzani wawasaidie kushinda uchaguzi hadi leo kimya.Kinachitokea UVCCM sasa hivi ni matokeo ya makundi na mengine yakisaidiwa kimkakati na vijana wa upinzani.Zile tuhuma za mwanadada Eddah Kishimba na Martine Shigella ambazo Ben aliweka humu bado mchezo unaendelea.Turudishe chama kwa wakulima na wafanyakazi.Tuache tabia ya unafiki,uhuni na kusalitiana kwa kuwa hakuna atakayesalimika
Hakuna taasisi hata moja ndani ya taasisi kubwa ya chama dume CCM itakayovurugwa navijana washindao mitandaoni na kulipwa viloba usiku ukiingia. CCM, UVCCM zipo imara sana kuliko fikra zenu zilivyo.
 
mwenyekiti wa uvccm yuko busy anamfatilia Maalim Seif akibeba nyanya na magimbi kwenye ndege ya serikali.
 
UVCC ni genge la wahuni na waporaji,maana vijana siku hizi hawataki kufanya kazi wamekalia ukuwadi wa kisiasa,hiyo ndio UVCCM ambayo tunategemea kupata viongozi wa taifa letu,si mnamuona NAPE alivyo ndio zao halisi la UVCC

akili zako mbovu kama za bavicha
 
Hali imeendelea kuwa tete ndani ya Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM), huku jumuiya hiyo ikitengua uteuzi wa wakuu watatu wa idara zake ambao walikataliwa na Baraza Kuu la chombo hicho lililokutana hivi karibuni, Visiwani Zanzibar.

Wakati hayo yakiendelea kuna na taarifa kwamba kumekuwa na mwendelezo wa harakati za kuandaa mkakati wa kumwondoa madarakani mwenyekiti wa jumuiya hiyo, Sadifa Juma Khamis na kwamba vikao vya kupanga mkakati huo vilianza mara tu baada ya mkutano wa Zanzibar.

Watendaji waliosimamishwa ni Wakuu wa Idara za Oganaizesheni, Tumaini Mwakasege, Fedha na Uchumi, Omary Suleiman na yule wa Idara ya Chipukizi na Uhamasishaji, Omary Justus.

Chanzo: Mwananchi
kaz ipo cc macho yetu kuangalia.
 
Sasa mbona kila kukicha mambo hayaishi ee MOLA tunusuru na haya majanga bola mimi cna chama nasubiri katiba mpya ipitishe kipengele cha mgombea binafsi.
 
Sasa mbona kila kukicha mambo hayaishi ee MOLA tunusuru na haya majanga bola mimi cna chama nasubiri katiba mpya ipitishe kipengele cha mgombea binafsi.

Hizi kauli daima zinakuwa za wale vijana wa Ccm wanao ona aibu kujitaja kuwa ni magamba hivyo huamua kujiita nutral party....but actually we can see your colour and understand in which category you belong!!!!!!!!!!!!!
 
It is just upepo, soon everything gonna be alright. By JK
 
akili zako mbovu kama za bavicha

Ndugu,kwa mwenendo wako hapa JF,ni wazi,kwa ulalali kabisa, unavutiwa na siasa za nchi yetu,hasa zile zinazohusu matendo na michakato ya kisiasa ndani na nje ya vyama vikuu vya kisiasa kwa sasa,CCM na CHADEMA.Uhalali wa hatua yako hiyo una msingi katika katiba ya nchi yetu,inayotambua, kuheshimu na kulinda uhuru wa maoni na mawazo.Hata hivyo,ningegenda kueleza masikitiko yangu juu ya uwezo wako dhalili na hafifu katika kuhimili jukwaa la siasa hapa JF,kwa kuzingatia upungufu na ukosefu wa thamani,umuhimu na uzito wa 'michango' yako katika mchakato wa political communication and socialization kama inavyojidhirisha mara nyingi mara utoapo maoni na mawazo yako.
Kwa hakika,si rahisi kubaini,kwa usahihi,chanzo cha udhaifu wako katika kukabili hoja usizozipenda. Vinginevyo,ningependa kukuhimiza uendelee kuifanya kazi hiyo uipendayo,kwa kuwa, kwa kufanya hivyo,bila shaka,ndipo unapopata tulizo la moyo,nafsi na akili.
 
Hivi kwanini alifukuzwa jeshini huyu Sadifa?
Sixtus ni kundi la Lowassa, kupitia Nchimbi.....huyu Sadifa ni kundi la Membe, sasa mnategemea nini hapo kutokea? This is the downfall of Membe and his team ........na mpaka sasa kuna evidence kuwa Sadifa ni chizi, na ndio kadhaa iliyomwondoa jeshini ......
 
Back
Top Bottom