ni vizuri ungetuambia ufisadi wa sittasitta ni walewale tu,,,,mnafiki,msaliti,fisadi...hana jipya.....ctaki kukumbuka alichokifanya huyu mtu
mr. lowassa ni fisadi wakati mr. sitta sio fisadi. mr. lowassa ana mabilioni ya kuonga mr. sitta hana pesa za kuhonga. mr. lowassa anawaanda mafisadi wa miaka ya baadae. wakati mr. sitta ana vijana ambao sio mafisadi. sasa hapo itatokana na ccm wapo upande upi. upande wa lowassa ukishinda 2015 nadhani chadema watakua na nafasi ya kushinda wakati kundi la mr. sitta likishinda kutakua na ushindani mkubwa na chadema..
Ama kwa hakika!!! Wanaudhi sana watu wa aina ya Sitta, Kilango, Mwakyembe na Ole Sendeka.sitta ni walewale tu,,,,mnafiki,msaliti,fisadi...hana jipya.....ctaki kukumbuka alichokifanya huyu mtu
I think Lowassa should feel a bit of shame!
Tanzania itakuwa imepata kiongozi wa maajabu sana kama Lowasa atakuwa rais wa nchi hii.
Mbabe ni atakayeshinda. Tsubiri. Au mkuu wewe mtabiri?ni vita ya kujiandalia mazingira ya urais 2015 viongozi hawa wameanza kujikita ktk vita ya kumtafuta atakae kuwa kiongozi wa vijana taifa uvccm. je ni kweli ktk ktk vita hii lowasa ataangushwa tena na sitta? au sitta hatakubali lowasa ampate kiongozi wake wa uvccm?
mabilion ya pesa yatamwagwa sana huku raia wakiwa hawana huduma bora za afya, je kiongozi atakae patikana uvccm hataweza kuwa fisadi kama kupatikana kwake ni kwa njia haramu?
sita amewai sema kuwa lowasa ni fisadi, je nani mbabe ktk vita ya kumpata kiongozi uvccm? lowasa au sita
ni vizuri ungetuambia ufisadi wa sitta
amejenga ofisi ya spika nyumbani kwao urambo.alikula pesa za cda yeye na rage,
mr. lowassa ni fisadi wakati mr. sitta sio fisadi. mr. lowassa ana mabilioni ya kuonga mr. sitta hana pesa za kuhonga. mr. lowassa anawaanda mafisadi wa miaka ya baadae. wakati mr. sitta ana vijana ambao sio mafisadi. sasa hapo itatokana na ccm wapo upande upi. upande wa lowassa ukishinda 2015 nadhani chadema watakua na nafasi ya kushinda wakati kundi la mr. sitta likishinda kutakua na ushindani mkubwa na chadema..
Asante mkuu,naona hilo jibu linamtosha,manaake anauliza km vile yy mgeni tz.....