UVCCM mmemtuma haya Makonda?

UVCCM mmemtuma haya Makonda?

DANNYBAVICHA

Senior Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
109
Reaction score
33
Leo kwenye kipindi cha Agenda 2015 -Star TV msemaji wa UVCCM Paul makonda amewatukana matusi ya nguoni wabunge na viongozi wa CHADEMA na CUF,,BAVICHA tunatumia nafasi hii kumuonya vikali kijana huyu tunamtaka ajue kuwa hakuna mtanzania zaidi ya mwingine, mara nyingi amekuwa Akialikwa vyenye vipindi na Viongozi wa BAVICHA na kuishia mitini Leo amepata ujasiri akiwa mwenyewe studio akiishia kutukana matusi badala ya kujenga hoja. Natumia nafasi hii kuwambia jeshi la polisi kumuacha makonda aendelee kutukana viongozi wetu ni uchochezi mkubwa na wakiamuacha tutawasaidia kumshape kijana huyu aendane na maadili ya kitanzania...
 
ujumbe umewafikia.

Labda na mimi nichukue nafasi hii kuwaeleza kwamba, hatutawaondoa madarakani kwa mapambio, ni makofi na vichapo vya kuwatosha.
 
Huyu kilaza Makonda sielewi huu umaarufu kaupata kwa njia gani,yaani kichwa chake kimejaa kamasi na tongo tongo ndio anapewa Platform kubwa kiasi hiki cha kuzungumza pumba,huyu kilaza aliemaliza Chuo kwa bahati ya mtende ndio anapewa popularity kiasi hiki?ni aibu kubwa kwa kweli kwa CCM na hicho chombo cha habari kilichomwalika.
 
Wapo watu wao wanadhani wanaijenga CCM kumbe ndio wanaibomoa kabisa. STAR TV ni moja ya taasisi zinazo iua ccm huku wakidhani wanaijenga. Huwezi ruhusu mambo ya aina hiyo yaruke hewani kwa kujikomba kwa watawala, hiyo ingekuwa Uhuru FM ingekuwa sawa maana inafahamika wazi kuwa ni kituo cha chama.
Dialo unajimaliza na unamaliza chama.
 
Makonda shoga anatafuta MTU wa kumshuhulikia Mtoto wa kiume uwezi kutukana mwanaume mwezio kama vile mambo hayo wanayo mashoga na yeye in mmoja wapo
 
makonda bado anauchungu wa kuumbuliwa na mbowe tabia yake ya unafiki anaamini atasawazisha lile kosa lake kwa kuwa tukana wapinzani.
 
Hivi kuna watu bado wanamsikilizaga huyo Mhafidhina Paul Makonda? Ukitaka kumjua Makonda kwa undani fuatilia kama alimaliza chuo pale chuo cha ushirika na biashara -MUCCOBS, Moshi.
 
Hivi kuna watu bado wanamsikilizaga huyo Mhafidhina Paul Makonda? Ukitaka kumjua Makonda kwa undani fuatilia kama alimaliza chuo pale chuo cha ushirika na biashara -MUCCOBS, Moshi.

Licha ya kusoma miaka zaidi ya medical school sijui kama alipata hata 2.0 kweli, tunaomjua ni bonge la ki.laza na fa.la huna haja ya kuhangaika nae ni mtu kujiropokea kama gari la mavi.
 
Back
Top Bottom