Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,079
- 4,891
🤣🤣🤣🤣wameikacha kama hawaioni vileHakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua kwa KINA RIPOTI hiyo na kutoa Maoni yao lakini Wapo Kimya kama Vile hakuna RIPOTI
Wako busy wanajichubua na katibu mwenezi wao,wako busy na mkorogoHakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua kwa KINA RIPOTI hiyo na kutoa Maoni yao lakini Wapo Kimya kama Vile hakuna RIPOTI
Hawajapata taarifa rasmiHakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua kwa KINA RIPOTI hiyo na kutoa Maoni yao lakini Wapo Kimya kama Vile hakuna RIPOTI
Hawawezi kuchangia maana hata wenyewe hawaelewi, wanadhangaa tu, mmoja amekuja na uzi wa kuwananga mods kwamba wamenunuliwa na chadema, tunasubiri evidence ya muamala wa manunuziHakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua kwa KINA RIPOTI hiyo na kutoa Maoni yao lakini Wapo Kimya kama Vile hakuna RIPOTI
Ila Doro amekaa kisela, lazima atakua anafanana na baba yake au mjomba wakeUvccm wakichungulia thread.
View attachment 2188916
Report ya CAG ni aibu kubwa kwa ccm.Hakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua kwa KINA RIPOTI hiyo na kutoa Maoni yao lakini Wapo Kimya kama Vile hakuna RIPOTI
Watachangia vuta subira wanasubir chadem mjibu hoja ya kupokea malilo hewa ya milion 37 alafu mmeuchuna kimyaaHakika inashangaza sana Kiona Vijana UVCCM wapo KIMYA KABISA juu yanayojiri katika RIPOTI ya CAG Aliyomkabidhi Mwenyekiti wa Ccm Na RAIS wa Tanzania.Nilitarajia kuwasikia VIJANA UVCCM wakiichambua kwa KINA RIPOTI hiyo na kutoa Maoni yao lakini Wapo Kimya kama Vile hakuna RIPOTI