KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,569
- 21,081
Madai ya kuwa Sugu ametembea na Shyrose ni mkakati halisi uliofanywa na UVCCM mkoa wa Mbeya ili kumchafua MBUNGE huyo wa Mbeya Mjini.
Jafari, alipewa fedha taslimu sh. Mil. 5 na wakereketwa wa CCM alipokuwa mkoani hapa kama downpayment, na baadae akaahidiwa sh. Mil5 nyingine baada ya kutimiza adhma yake hiyo.
Pia kuna fungu ambalo wana CCm mkoani hapa wamelitenga kwa ajili ya kuyahonga magazeti ya udaku ili kulipa uzito sakata hilo la kijinga ili Sugu apoteze imani kwa wananchi wake walio mchagua.

Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items
Labda ana matatizo....you never know!
Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items
kwani alimbaka au alimmega kihalali?
mkuu hutaki si ulisikia cluds wameongea hayo but si mbaya jamaa bado hajaoa!source ni muhimu kabla hatuja hitimisha hii ni crap!
Nina simu ya mkononi ya Sylvester Kikungwe katibu mkuu wa CCm mkoa, ambayo tuliiba kwa ajili ya uthitisho wa taarifa hizi.
Msg nyingi za ushahidi zipo kwenye inbox na sent items
hizo ndo tunaziiita inteligensia sasa!kumbe we ni jizi, kweli kazi tunayo