UVCCM kuna kasoro

Unataka mwenye kiti Toka Visiwani Aongelee Bandari zetu?

Akae tu kimya kwa kweli
 
TUNAHITAJI UWEKEZAJI KWENYE BANDARI, ILI UFANISI UONGEZEKE, TUINUE UCHUMI, TUTOE AJIRA ZA KUTOSHA, TUSOMESHE WANAFUNZI WENGI, NA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA JAMII.
UWEKEZAJII HUUU NI MUHIMU SAANA ACHENI KUJIPA UJUAJI WA KIZAMANII.
TUWAPE HAO WAARABU TANESCO BODI YA MIKOPO MBUGA ZA WANYAMA UWANJA WA NDEGE ILI AJIRA ZIONGEZEKE
 
Msitarajie mwekezaji atatoka kwao kuja kukusaidia kukuinua kiuchumi .
 
CCM kitengo cha uenezi kimepwaya sana Polepole alitendea haki hii nafasi japo sijawahi kumkubali lakini nafasi ya katibu uenezi alitendea haki huyu wa sasa hata sijui nani wala sijawahi kumsikia akipagana vita kutetea sera za chama.
 
Msitarajie mwekezaji atatoka kwao kuja kukusaidia kukuinua kiuchumi .
Nadhani somo la investment limekupita kushoto, mwekezaji sio anakuja kutoa msaada anakuja kuwekeza apate na wewe upate sio charity hii. Nitajie nchi moja duniani haiiti wawekezaji waje wawekeze nchi yao. Hata hao Dubai sera zao zote wanatengeneza kuwavutia muwekezaji. Kama nchi utafanya nini kumvuta mwekezaji asiende Kenya mfano aje awekeze Tz. FDI ni sehemu kubwa ya kukuza uchumi wa nchi ni maana wanaleta mtaji wao nchini, kuajiri na kulipa kodi. Hebu tufanye kama leo tumeamua hatutaki mwekezaji nchini wote waondoke Tz itakuwa na sura gani? Vipi viongozi wanaenda nje, mabalozi kufanya kazi kuwavutia watu waje wawekeze hapa tumefungua mpaka TIC kuratibu uwekezaji halafu anakuja mtu anasema sio muhimu. Kama hiyo ndio sera ya wenzetu basi nchi itarudi 1970"s. Tunasema dunia imekuwa kijiji lakini hatutaki kukubaliana na athari za dunia kuwa kijiji.
 
Utakuaje mdàu wa maendeleo na hupigi kura??
 
TUWAPE HAO WAARABU TANESCO BODI YA MIKOPO MBUGA ZA WANYAMA UWANJA WA NDEGE ILI AJIRA ZIONGEZEKE
Sasa ya Nini kuendelea kuwa na vitu ambavyo havina UFANISI, nawakati Kuna namna ambavyo vinaweza kuleta UFANISI na kututoa katika dimbwi la umasikinii?? Kama tukiwapa twaweza pata faida mara dufu, tuwape tuuuu.
 
Msitarajie mwekezaji atatoka kwao kuja kukusaidia kukuinua kiuchumi .
Kwahiyo ulimwenguni kooote ambapo Kuna wawekezaji, inamaana KAZI Yao nikufilisi zile nchi walizo wekezaa?? Haya, hawa watanzania waliowekeza sehemu mbalimbali duniani nao huko KAZI Yao ni kuwaibia wenyeji?? Tuache mitazamo ya kizamaniiii, Dunia hiii ni yetu wotee, unaling'ang'ania lieneo lako la kipandee Cha Dunia utafikiri ulizaliwa nalo. Dunia IPO Kwa AJIRI kunufaisha wotee. Acheni wenye teknologia mbadala watusaidiee kunufaika na rasilimali zetuu ili na sisi tuendelee.
 
TUNAHITAJI UWEKEZAJI KWENYE BANDARI, ILI UFANISI UONGEZEKE, TUINUE UCHUMI, TUTOE AJIRA ZA KUTOSHA, TUSOMESHE WANAFUNZI WENGI, NA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HUDUMA ZA JAMII.
UWEKEZAJII HUUU NI MUHIMU SAANA ACHENI KUJIPA UJUAJI WA KIZAMANII.

HOW?
 
Unaikumbuka Barrick? Acacia?Richmond, loliondo, south african airways?
 
Unaikumbuka Barrick? Acacia?Richmond, loliondo, south african airways?
Acheni KUJIFUNZA Kwa vilivyo shindikanaa, lakini pamoja na hayo uliyoyataja , mikataba hiyo, imesharekebishwaa, Sasa tunanufaika woteee. Acheni UJUAJI uchwaraaa, mtakimbiza wawekezajiii.
 
Uvccm wanasikilizia upepo , wale ni bendera fuata upepo
Si kweli....

Sisi tunamtii mwenyekiti wetu anayetuongoza katika hii imani tukufu ya maslahi ya kidunia na taifa letu....

Unataka mimi UVCCM nimpinge na "kumsilibia" mwenyekiti wangu huku hadharani ?!!![emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
 
Haha uwoga ulipitiliza = utii. Hii kitu Aliitengeneza nyerere kwa sababu tofauti kipindi hiko but then mwenyewe akaja kukemea at one time alipotoka madarakani akianza kipiga vita uoga ulipitiliza maana imetengeneza raia waoga, uwoga umejaa unafki, unafki umetengeza viongozi wabovu

Sisemi kiongozi atukanwe, akosolewe. Uvccm hamna uwezo wa kumkosoa kingozi wenu hata akosee vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…