aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 190
Kwenye red wataalamu wa Lugha tunaita concordial Agreement au concord...watoto wa ccm hawajuimbona hata kuandika kwenyewe ni shida? Hakuna alama za huandishi muundo hauna upatanisho, CCM sina hamu nayo, njooni mtoe Div 5 zenu huku jukwaan hatuztaki
Haa haa ccm inaogopa sana maandamano! Wana Arusha hakikisheni mwakani maccm hayapumui hapo Arusha!
tuwekee picha maana hata viongozi wenu wameanza kuwapuuza...
Mbona kichekesho, ameingia siasa bila kutafuta weledi wa siasa, au kumuongelea MBOWE ndio kutampandisha chati? Apimane ubavu na BAVICHA wa hapo AR kwanza.
Hoja za kitoto.
LEMA aliahidi mengi ARUSHA sijui kwenye MDAHALO atasema nini safari hii.