UVCCM Arusha wafunga ofisi za Mkoa




Naona umejitahidi kubeba mawazo ya ziro Mwadalu
1. Mwenyekit hahusiki na tuhuma za fedha na si yeye aliyefunga ofisi ni kamati ya utekelezaji ya Baraza kuu la vijana mkoa wa Arusha,lkn pia angekueleza kuwa ndie aliyekiitisha kikao kilichomuwajibisha. Lazma atoe hesabu ya hela hy 14M la sivyo lazma aende jela. Posho ya laki tano ni uongo mtupu atunge mwingine huu umefeli.

2. Uwekezaji wa chama sio wa kwanza huo,akwambie huyo uwekezaji wowote na mali za chama zinasimamiwa na baraza dogo la wadhamini la UVCCM Taifa.

3. Khs kamanda wa Meru ni mgogoro uliomgarimu ktb wa Mkoa aliyetangulia Kidima, kwa kushirikiana na ktb wa w-Meru wamekula hela wakauza ukamanda,kama mbaya ni Mwenyekit kwa nini Kidima aliondolewa? Huyo amekuwa akitumika kumtembeza Mzee anaeutaka ukamanda kwa nguvu akalipa vijana waandamane lkn pia ni kwa ajili ya harakati za Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki.

4. Mmejitahidi sana kukwamisha baraza lkn limefanyika na maamuzi yametoka.

Nasema tena muda c mrefu tutaelewana tu na Arusha yetu itakuwa huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…