UVCCM Arusha ngoma mzito

UVCCM Arusha ngoma mzito

aminangalo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
974
Reaction score
190
Alihamisi iliyopita halmashauri ya wilaya vijana ilikaa kikao Chao cha kawaida kunadili mambo yao ikiwa ni pamoja na agenda ya kamanda wa wilaya hiyo ambaye ni ndugu Karim Mushi kamanda huyo alipewa kusalimia kabla hajamaliza zilisikika sauti za kumkataa kuwa yeye siyo kamanda wao na wao Arusha mjini hawana haja na kamanda.

Baada ya hali ya hewa kuchafuka mwenyekiti wa UVCCM wilaya Marten Munisi alimwomba kamanda karimu aondoke na awaachie kikao Chao baada ya kuondoka Mushi kikao kilianza bado mambo yalimwelemea mwenyekiti huyo baada ya kuonekana kumtetea katibu wa vijana na wa wilaya na wenzake wawili waliyo simamamishwa kwa kula pesa za vijana kiasi cha milioni Mbili na laki tatu.

Kila walipotakiwa kuwatoa mwenyekiti alikuwa akiwaomba wasiwatoe baada ya kuona mambo yanamwendea kombo MWENYEKITI huyo alianza kuwatuhumu viongozi wa Mkoa kuwahonga baadhi ya wajumbe kuja kuvuruga kikao hicho baada ya malumbano marefu walikubaliana kumsamehe Masudi katibu huyo wa wilaya na mambo yakaendelea.

Kumsimika kamanda wa Mkoa mambo yaliendelea kuwa mabaya baada ya vijana wa uvccm Arusha mjini kugomea tisheti za kamanda huyo baada ya kudaiwa kuwa wilaya ya Arusha mjini ilidharauliwa monduli ika andaa mambo yote.

Ilipelekea mwenyekiti wa wilaya ya Arusha mjini kuungana na Vijana hao kuisusia sherehe hiyo alipoitwa kukifungua kikao hicho kilichofanyikia levolosi Hosp. Alikataa kwenda kukifungua jambo ambalo lilionyesha kulikuwa na shida na kutokuelewana kwa vijana hao.

Shughuli hiyo imehisishwa na harakati za ubunge kwa kamanda huyo Mkoa ambaye pia ni mhubiri wasemina za injili.

Vijana wa Arusha nawashauri unganeni maana bado mnanafasi kubwa Sana ya kurudisha jimbo lenu ila mkiendeleza hayo makundi yenu mtalisikilizia jimbo radioni.
 
Alihamisi iliyopita halmashauri ya wilaya vijana ilikaa kikao Chao cha kawaida kunadili mambo yao ikiwa ni pamoja na agenda ya kamanda wa wilaya hiyo ambaye ni ndugu Karim Mushi kamanda huyo alipewa kusalimia kabla hajamaliza zilisikika sauti za kumkataa kuwa yeye siyo kamanda wao na wao Arusha mjini hawana haja na kamanda baada ya hali ya hewa kuchafuka mwenyekiti wa uvccm wilaya marten munisi alimwomba kamanda karimu aondoke naawaachie kikao Chao baada ya kuondoka Mushi kikao kilianza bado mambo yalimwelemea mwenyekiti huyo baada ya kuonekana kumtetea katibu wa vijana na wa wilaya na wenzake wawili waliyo simamamishwa kwa kula pesa za vijana kiasi cha milioni Mbili na laki tatu kila walipotakiwa kuwatoa mwenyekiti alikuwa akiwaomba wasiwatoe baada ya kuona mambo yanamwendea kombo MWENYEKITI huyo alianza kuwatuhumu viongozi wa Mkoa kuwahonga baadhi ya wajumbe kuja kuvuruga kikao hicho baada ya malumbano marefu walikubaliana kumsamehe masudi katibu huyo wa wilaya na mambo yakaendelea

Kumsimika kamanda wa Mkoa mambo yaliendelea kuwa mabaya baada ya vijana wa uvccm Arusha mjini kugomea tisheti za kamanda huyo baada ya kudaiwa kuwa wilaya ya Arusha mjini ilidharauliwa monduli ika andaa mambo yote

Ilipelekea mwenyekiti wa wilaya ya Arusha mjini kuungana na Vijana hao kuisusia sherehe hiyo alipoitwa kukifungua kikao hicho kilichofanyikia levolosi Hosp. Alikataa kwenda kukifungua jambo ambalo lilionyesha kulikuwa na shida na kutokuelewana kwa vijana hao

Shughuli hiyo imehisishwa na harakati za ubunge kwa kamanda huyo Mkoa ambaye pia ni mhubiri wasemina za injili

Vijana wa Arusha nawashauri unganeni maana bado mnanafasi kubwa Sana ya kurudisha jimbo lenu ila mkiendeleza hayo makundi yenu mtalisikilizia jimbo radioni

Mwenyekiti Munisi , kamanda Msimikwa Mushi.....hahaaaa.....CC Ritz, Msalani, Ifweero, et al Lumumba team book 7...,,,,
 
Back
Top Bottom