UVCCM: Andaeni maandamano kuunga mkono rais

MSHAURI_WA_NCHI

Senior Member
Nov 10, 2015
139
73
Watanzania tuko nyuma ya ccm kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi kuunga mkono jemedari na rais wetu katika juhudi zake za kumkomboa mtanzania.

Lazima tuionyeshe dunia kuwa Tanzania Mpya yaja na walala hoi wamepata serikali sahihi.
 
Kijana Wa kitwanga.....umetumia kitwangwa???

Sukari elfu tano
Bajet ya viwanda ambayo ni kipaombele imetwngewa fedha pungufu na za mwaka Jana

Bunge limefichwa...

Hali ngumu mtaani....

Uvccm mnawaza kama Agnes's marwa
 
Uvccm nchi nzima mawazo yao yamefanana kama,ya Agnès marwa,ukijumlisha na yule mwenyekiti wao wa taifa aliyedondoka kwenye parachuti ya jeshi kichwa kimeruka
 
Back
Top Bottom