UVCCM acheni hadaa, Unafiki at work | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UVCCM acheni hadaa, Unafiki at work

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Jan 31, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  UVCCM kaeni vikao vya chama, mumshauri Raisi ambaye ni mwenyekiti wa chama chenu, mshaurini atoe elimu bure kwa wananchi wa Tanzania. Kuanzia chekechea mpaka university, mbona kenya na uganda wanaweza? wao wana nini au kwa nini wao waweze na sisi tushindwe.

  UVCCM msijekuwahadaa watanzania, acheni siasa sa majukwaani.

  Fanyeni kwa vitendo, mumshauri Rais wenu avunje bodi ya mkopo.

  Pia kaeni chini, muwashauri NEC yenu wawaambia vigogo waachie ardhi waliohodhi ili vijana wapate ardhi walime, wapate ajira.

  Pia UVccm, mumshauri Raisi asiwabebe wawekezaji na kuwatelekeza wananchi. Angalia vurugu za manyara, mbarali. Wananchi wanaporwa ardhi ili wawekezaji wapewe. Kila kitu wawekezaji, kwani watanzania wenzenu hawawezi nyie UVCCM?
  Au 10% zinawaponza, acheni ubinafsi !!

  Ombeni Ushauri kwa IDD SIMBA analo la maana,
   
Loading...