kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Leo 2019 tayari wapo vijana wameanza kuwaza nani rais ajaye 2025 na wanatamka adharani jina lake na mbaya zaidi wanamtetea kwa nguvu zote mitandaoni.......
Katibu Mkuu unajua wapo watu wameandaa na nafasi zao katika wilaya na mikoa nchini? Unajua wapo watu wameanza kuajiriwa kwa sababu tu wanatetea vyema ujio wa Rais mpya 2025? Unatambua kuwa vijana wameacha kusoma na kufanya kazi kwa bidii wakisubiri wateuliwe ubunge na nafasi mbalimbali za siasa?
Jamani wakuu mnatambua kwamba vuguvugu la watu kuongoza Tanzania limekuwa kubwa na kila mtu anawaza kuwa Rais? Nadhan wamejiaminisha kwamba urais Ni kazi rahisi Sana na sijajua wamejuaje au ni kipi kimewafanya waone siasa ni suluhisho la mtaji.
Praising team inapambana na wagombea Urais wa 2025 kuliko wanavyopambana na maisha yao binafsi.
Hata wewe unataka kuwa Rais wa nchi kweli?Pls acha, huna sifa ya kuongoza nchi mdogo/ mtoto wangu. Mkoa unakutosha