Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,
Mkuu Mondo hii ya kwetu Shinyanga au?
mkuu umeongea ukweli mtupu, namjua huyu anayejiita mh sambala kule fb anapenda misifa ya kijinga na nkpata muda ntatupia picha ya hapa mmuone vizuri.
Humu ndani tuna wakina Mh Kigwangwala,Mh Zitto,Mh Mnyika,na Dr Slaa,wala hawajiiti Mheshimiwa,wewe kadiwani tu,tena ka kijijini eti Mh,ukiupata huo uenyekiti utajiita nani,ACHA UPUUZI KIJANA!
.... Mademu gani waliwahi kuwa na Inbox zangu...? Nyie kweli vilaza na wala hamjui mtendalo...
Poleni Vilaza wa Udaku nyie....
Mtu akisoma majibizano yenu, wewe sambala ndo unaonekana kilaza, kwanza topic yako inajieleza ukitaka kuujua ukilaza wako. ungekuwa kwa baba moi ungeitwa nyang'au.
..... Haya umesinda wewe na udaku wako....
Siwezi jibishana na mtu ambaye hana data
ZA LEOLEO ni mnafiki mtu kuwa mfuasi wa kigwangalla ni kosa au kwa kuwa wewe unatumiwa na msomali bashe, usitudanganye humjui comrade sambala huyo ni mpigania haki za wanyonge
Hana lolote huyo ni mmoja kati ya wale vijana wanaotoana roho kuwania uongozi UVCCM,anajiita mh kisa ni diwani wa kata gani sijui dodoma huko! anamiliki ka group kake kule facebook kanaitwa TANURU LA FIKRA,kutwa ni kuwachafua vijana wenzake wenye nia na UVCCM kwenye hilo group na ni mmoja wa wafuasi wa kigwangala,anamkashifu bashe kila siku! anajiita comrade sambala,kifupi anapenda misifa ya kijinga! Im out aje ajitetea nimwage maovu yake hapa,,,
Do you think UVCCM can do better than this?
.... Ha haaaaaaa
Haaaaaa