Uvamizi wa maeneo ya shule :PM Majaliwa ajaribiwa Bagamoyo

Binti Msichana

Senior Member
Oct 9, 2016
109
247
Katika hali inayoonesha waziri mkuu Kassim Majaliwa amepuuzwa katika agizo lake la halmashauri zote kuhakikisha inachukua maeneo ya wazi yanayopakana na shule kwa kufuta hati na kulipa fidia.Vilevile aliagiza kupimwa kwa maeneo yote ya shule.

Hali hii ni kinyume kwa mwekezaji aliyemilikishwa eneo la shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mjini kwa kuweka uzio mbele ya shule upande wa barabara kuu ya Bagamoyo .Hii ni dalili kuwa agizo la Waziri Mkuu kupima maeneo ya shule na kuchukua maeneo ya karibu limepuuzwa kwani hata viongozi wamekaa kimya na kumwacha mwekezaji afanye atakavyo .

Eneo hilo inasemekana amemilikishwa kimizengwe kwani lilikuwa eneo la shule.Hivyo ni wajibu wa viongozi wa Bagamoyo kuchukua hatua mara moja kuzuia hali hii.
 
Back
Top Bottom