Mimi ni bibi lakini kwa hili joto mtu asiniambie lolote. Tutaftie fan kwenye barabara tutavaa unachotaka othewise tuache tutavaa vitenge bila chochote chini, mabinti wetu watavaa vichupi na wajukuu watakaa uchi. Wanaume vaeni kaptula au chochote ili mradi makokolo yenu yapo safe. Dar haivaliki haisetiriki haiheshimiki hata kama sisi ni wakwe, wacha wanetu wavae chochote mi sijari joto kama Havana???? Angalia picha za havana na south America wamejificha uchi? Je inawapunguzia utu wao???Mko poa walimbwende ?
Ngoja niwape darasa kidogo
Kimsingi uvaaji wa nguo fupi kwa wanawake pia ni fasheni ya mjini....nazungumzia gauni fupi,kimini au kikaptula(kichupi)...ila nazungumzia zaidi vimini na magauni mafupi......
1/Mazingira yanaruhusu?
Kabla hujavaa kimini au gauni fupi jiulize kwanza unaenda ofisini,sehemu ya ibada,starehe au kitaani tu au utapanda daladala?.....ukijiridhisha wewe jipigie tu kimini chako !!
2/Una miguu ?
Kuvaa tu kinguo kifupi wakati una miguu mibaya ni sawa na kujidhalilisha tu....km unajijua unatembelea mikono usivae vazi hili !!!
3/Kiatu kirefu ndio mwake
Ili utoke bomba na gauni fupi au kimini hakikisha unavaa kiatu kirefu , lakini kimini pia kinaweza kuvaliwa na flat shoes kikaeleweka....utaonekana wa kijanja !!!
4/Epuka kuinamainama
Ukivaa vazi fupi kamwe usitake kuinama unaweza kujikuta mali zako zinabaki nje.....Njia bora wakati unaokota/kuchukua kitu ni kuchuchumaa tu !!!
5/Kaa kwa staha
Wakati wa kukaa hakikisha unapishanisha miguu badala ya kuachanisha au kuitanua....utakaa uchi !!
6/Uvaaji wa kaptula fupi/kichupi
*huvaliwa chumbani au sehemu ya starehe
*Inapendeza ukivalia top au blauzi
*hakikisha miguu yako ipo soft
Mwanamitindo wa Uswaz
The Bitoz
We nae hukuwa mnunuzi, majina yanaogopwa toka lini[emoji15]Sawa ila hayo majina yamefanya niogope kukununulia ile kitu tena[emoji26]
Ili na mhusika nijue[emoji23]kwani wameshindwa kuelewana!!!!!!
Teh sijui ina maana ya kichagga. Ila mbutananga kama anavyojulikana ni mdada fulani amazing sana, yupo mamtoni. Huwa anauza chupi na bidhaa nyingine ila pia huwa anatoa somo la how to look sexy at home. Ni role model wangu kwenye suala zima la "confidence". Afu ni rafiki wa kufa kuzikana naa super mogul le mutuz. Naomba tu umgoogle ndo utanielewa vizuriTeh hivi maana ya mbutananga ni nini ??
Hahahaa asante nitamgoogle tu ,Teh sijui ina maana ya kichagga. Ila mbutananga kama anavyojulikana ni mdada fulani amazing sana, yupo mamtoni. Huwa anauza chupi na bidhaa nyingine ila pia huwa anatoa somo la how to look sexy at home. Ni role model wangu kwenye suala zima la "confidence". Afu ni rafiki wa kufa kuzikana naa super mogul le mutuz. Naomba tu umgoogle ndo utanielewa vizuri
Hujaelewa somo....Mimi ni bibi lakini kwa hili joto mtu asiniambie lolote. Tutaftie fan kwenye barabara tutavaa unachotaka othewise tuache tutavaa vitenge bila chochote chini, mabinti wetu watavaa vichupi na wajukuu watakaa uchi. Wanaume vaeni kaptula au chochote ili mradi makokolo yenu yapo safe. Dar haivaliki haisetiriki haiheshimiki hata kama sisi ni wakwe, wacha wanetu wavae chochote mi sijari joto kama Havana???? Angalia picha za havana na south America wamejificha uchi? Je inawapunguzia utu wao???
Dah kamwonea tu ,angetumia tu busara huwezi jua baadae bi dada angemwonea huruma ...Kamchana kweli.....
Hahaaaaa uu kiboko aiseeHuo ugimbi sio mchezo
nielimishe nisibwabwaje basi maana uzee nao mhuuu!Hujaelewa somo....
Sipingi uvaaji wenu ..
Nimetoa hints tu
Just relax......
ha.....unatafuta ugomvi!!!yaani umnunulie kimini Jimena hii taarifa aione Copenhagen DN