Uvaaji wa kondomu kama vazi

Ngoja wabongo waone na joto lilipo ukichanganya na kile kiwese chake ni baraaa kwenye daladala,LAZIMA TUUGE TU
 
kama haikua siku ya ukimwi duniani basi ni moja ya maonyesho ya kampuni fulani ya condoms..... Biashara matangazo atiiii ....
 
haya pita kitaa majita wanakufanyia na hizo hizo je itakuwa poa ila wabongo kwa kuiga sasa hivi tutawaona
conquest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…