Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,826
Msaada kwa mwenye uelewa, hivi ukiwa unavaa kofia mara kwa mara inaweza kuathiri ukuaji wa nywele, hasa kwa wale wenye viwalaza/upara unaoanza? Marasta mbona huvaa kofia muda mwingi? Watu wengine pia mbona huvaa kofia muda wote na nywele ziko vizuri tu. Msaada tafadhali