uvaaji wa hovyo kwa wanaume

uvaaji wa hovyo kwa wanaume

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,509
Reaction score
830,005
utanashati humfanya mtu aonekane tofauti na wengine, utanashati huleta heshima na kupendwa, utanashati huwakilisha utulivu wa akili, ukivaa hovyo utaonyesha wazi kuwa umevurugwa na hujajikagua vema wakati unavaa!!! nachukizwa mno nikiona mtu kachomekea vibaya shati au kola imekaa vibaya, vifungo kafunga tofauti, hajafunga zipu, hajafunga kamba za viatu, mkanda karuka kishikio, kavaa sox suruali imetumbukia soksini, viatu vichafu nk..! as a gentleman unapotoka ndani hakikisha umekamilika kila idara btw wanawake wahahusika sana kwenye utanashati na usafi wa wenza wao
 
Sio kila mtu anaish maisha unayoyafkria wew others we are homeless and we have no hope 4ze feture so it better we dress and appear as we want bt not as u want
 
..mwingine amevaa suti na raba halafu anapiga ngoko km 6 hivi halafu anakula mahindi...loading error...
 
Sio kila mtu anaish maisha unayoyafkria wew others we are homeless and we have no hope 4ze feture so it better we dress and appear as we want bt not as u want

mtena nafikiri hatujaelewena, nazungumzia uvaaji wa hovyo mfano kutofunga zipu, kukosea vifungo nk, hebu pitia tena post yangu usome kwa kutulia usikurupuke
 
Mwingine utakuta kavaa tai huku amevaa jeans

afadhali huyo anaweza kuonekana kapendeza kuliko mtu kavaa hajaibalance na shati hajachomekea vizuri na kuna upande halijachomekewa kabisa
 
Mwingine Shati la kijani, trouser njano na viatu vyekundu
 
afadhali huyo anaweza kuonekana kapendeza kuliko mtu kavaa hajaibalance na shati hajachomekea vizuri na kuna upande halijachomekewa kabisa
kaka, mi nachukizwa sana na wengine unakuta kavaa suruali kubwa halafu kafunga mkanda suruali imeweka marinda kama ya sketi. Halafu mwingine amevaa suruali kubwa, hajafunga mkanda kwa hiyo kila wakati inashuka. sasa huwa najiuliza, kwa nini asishone/asinunue inayomtosha? na kaka amepungua kwa nini asipeleke kwa fundi aipunguze?
 
itaje iyo sharia kama ni sharia ya tai na mm naitungia tai sheria yangu kuwa nitavaa tai vyovyote nitakavyo
mi nilifikiri jamaa ameuliza swali! mbona unamtundika swali jingine tena?
 
..mwingine amevaa suti na raba halafu anapiga ngoko km 6 hivi halafu anakula mahindi...loading error...

kula mahindi ni kosa.? poor Tanzanians...kwenye dressing code nakubaliana na wewe
 
Back
Top Bottom