Uvaaji gani unaokuvutia mwanamke akivaa?

Binafsi mwanamke akivaa dera halafu awe na shepu la kutosha halafu akitembea awe kama analivuta hivi lisiguse chini, Wallah huwa napenda sana.
 
mke ni mkandarasi wa familia na hao wengine ni vibarua tuu.....ndio maana tunaacha wajishow watakavyo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom