UV-CCM imepotelea wapi?

UV-CCM imepotelea wapi?

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,263
1433838179011.jpg

Nakumbuka miaka ya zamani hadi mwishoni wa mwaka 2009 ukipita sehemu za vyuoni huko huu umoja ndio ulikuwa sehemu yake ya kujidai na pia ulikuwa na nguvu na ushawishi. Kinyume na sasa umoja huu hausikiki mahala popote hata vyuoni huko watu wanaogopa kujitambulisha wao ni UVCCM japo ni wachache sana wanaojitambulisha. Sasa ni nini kimekipata Umoja huu mpaka umeshindwa hata kutambulika leo hii ukimuuliza hata mwanachama wa CCM kiongozi wa UVCCM TAIFA ni nani hawajui kidogo anayejulikana ni Paul Makonda na Jely Slaa.
 
Kama baba zao wamefutika na mama zao UWT wamefutika itakuwa UVCCM wameshazikwa tayari
 
View attachment 258667

Nakumbuka miaka ya zamani hadi mwishoni wa mwaka 2009 ukipita sehemu za vyuoni huko huu umoja ndio ulikuwa sehemu yake ya kujidai na pia ulikuwa na nguvu na ushawishi. Kinyume na sasa umoja huu hausikiki mahala popote hata vyuoni huko watu wanaogopa kujitambulisha wao ni UVCCM japo ni wachache sana wanaojitambulisha. Sasa ni nini kimekipata Umoja huu mpaka umeshindwa hata kutambulika leo hii ukimuuliza hata mwanachama wa CCM kiongozi wa UVCCM TAIFA ni nani hawajui kidogo anayejulikana ni Paul Makonda na Jely Slaa.

UVCCM haisikiki na haitasikika soon kwakuwa imepigwa na "tufani" ya BAVICHA na UKAWA! Istoshe UVCCM watu wameishtukia kwani ilikuwa inamilikiwa na ni mali binafsi ya Mbunge wa Chalinze
 
Back
Top Bottom