Enyi watu wa ardhi njooni Bunju B muone jinsi viongozi wa mitaa wanavyouza maeneo ya wazi na hasa maeneo ya mabondeni ambayo ni reserve,viongozi hao ni wababe na wanashirikiana na vyombo vya ulinzi pindi wakibugudhiwa,Waziri wa ardhi njoo huku Bunju ushuhudie hiki kitu, mtafute mtu anaitwa jihadi huyu ndo kiongozi wa kuuza sehemu za wazi