Dr. Chapa Kiuno
JF-Expert Member
- Sep 11, 2009
- 443
- 18
Angeenda hukohuko China kutibiwa...
Otherwise mi sijui kama asharudi, lakn nadhani anajuuuta kununua hizo dawa!
Angeenda hukohuko China kutibiwa...
Otherwise mi sijui kama asharudi, lakn nadhani anajuuuta kununua hizo dawa!
Ha ha haaaaaaaaa
Wadau, hivyi yule jamaa aliyeenda India kufanyiwa upasuaji baada ya kutumia madawa ya kichina na kusababisha uume wake kuwa mkubwa na hata kukimbiwa na mke wake amesharudi?
Jeh! mtalimbo umerudia hali ya kawaida, au?