Uume kusinyaa wakati wa tendo

Vipi ukigusanisha nyaya unapata hisia?Unatakiwa ukigusanisha nyaya mwili usisimke kweli kweli.Kama unapata hisia utakuwa mzima kama hupati hisia basi kuna tatizo.Kamuone daktari haraka
 
Daaah comments pia za wadau zinafurahisha sana,Natumaini pamoja na kupata msaada watatizo lake kajifunza na mengine mengi sana...........
 
Kama hujaoa halafu unaleta uasherati wako hapa unataka ushauriwe vipi. Yaani jukwaa likushauri ukafanye uasherati. Astaghafilahi. Lakini Vandelitz kakujibu vyema. Inaonesha umedandia treni kwa mbele.
 
Back
Top Bottom