Nina shida jamani, ni mwezi wa tatu sasa uume wangu hausimami nyumbani kabisa, kwa maana hiyo sijafanya mapenzi na mke wangu kwa kipindi chote hicho. Cha ajabu kabisa nina ka king'amuzi nje nikikaona tu uume unasimama na ninafanya mapenzi. Je huu utakuwa ugonjwa gani?

We King'asti, usije ukawa we ndo king'amuzi chenyewe maana ulivyojipigia debe...Hamia kwa king'amuzi. Umeyalonda mwenyewe!
Na ole akutane na wanaovyatua matofali ya bloku vifuani AU wanaoendesha mikokoteni toka posta hadi kimara kila siku, ndo itakuwa imetoka hiyo..
hako kaking'amuzi ndio kamekung'amua
na wewe subiri umegewe mkeo,c uliona
fahari kua na king'amuzi?faida moja wapo ndio hiyo!!