falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,229
- 9,357
Uturuki yajuta kuidungua ndege ya Urusi
Rais wa Uturuki ameonyesha kujuta kwamba Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi karibu na mpaka wa taifa hilo na Syria,lakini hakuomba msamaha kwa tukio hilo.
Source:bbc.com/swahili

Turkey has a huge backing of NATO, (actually she is their strategic ally), I don't think Russia will dare touch them.
If they dare, that will be a start of World War 3
endorgan ni mtata sana,ngoja tuone mziki unavyoendaHuyo Edogan anazingua tu, ana dharau sana na urusi wamesha mjua ni mzushi yani anachimba mkwara huku anajifanya anahuzunika masaa machache kabla hajatoa hayo maneno alisema warusi wanacheza na moto kwakitendo cha kuwasumbua raiya wake huko russia.
endorgan ni mtata sana,ngoja tuone mziki unavyoenda
Uturuki yajuta kuidungua ndege ya Urusi
Rais wa Uturuki ameonyesha kujuta kwamba Uturuki iliidungua ndege ya kijeshi ya Urusi karibu na mpaka wa taifa hilo na Syria,lakini hakuomba msamaha kwa tukio hilo.
Source:bbc.com/swahili
Nicheki pm
Mrusi atulie kama hana la kufanya na awache mikwara. Ndege zake zimetunguliwa na hajafanya lolote na mashabiki wake humu JF wanatuambia eti anafanya timing.
Poa mkubwa takutafuta ukizigatia situmiagi tungi zaidi ya haya.
Turkey has a huge backing of NATO, (actually she is their strategic ally), I don't think Russia will dare touch them.
If they dare, that will be a start of World War 3
Wapo zaidi ya huyo bei cheee
Ikiwa katika NATO turkey ni second powerful nation kijesh hapohapo turkey hawawafikii russia kwa silaha nzito za kisasa sasa unafikiri kijeshi cha nato kina ubavu wa kumsumbua puttin?Hapo kwa Putin kachemka ngoja tuone Mrusi atafanya nini
Ikiwa katika NATO turkey ni second powerful nation kijesh hapohapo turkey hawawafikii russia kwa silaha nzito za kisasa sasa unafikiri kijeshi cha nato kina ubavu wa kumsumbua puttin?