Uturuki kuivamia kijeshi syria na iraq

Uturuki kuivamia kijeshi syria na iraq

saidi yakoub

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
21
Reaction score
22
Jeshi la uturuki lipo mpakani mwa syria na iraq ambapo linafanya mazoezi ya nguvu.
c5fc8d5a34016e222fad8608a8b9d4b1.jpg

Sababu ya kufanya hivyo ni kutopenda kufanyika kwa kura ya maoni ya jimbo la wakurdi wanaotaka kujitenga kutoka serikali kuu ya mjini bagdad.Uturuki inaona kutangaza uhuru kwa jimbo hilo ni kuchochea machafuko zaidi mashariki ya kati na imepanga kulichukua eneo la kaskazini ya iraq pamoja na kaskazini ya syria iwe sehemu ya uturuki.Kumbuka watu jamii ya waturkmen wanaishi kaskazini ya syria na iraq na ni jamii moja na watu wa uturuki.
d3e4b6ecb13c13831a6bb805bfb05c74.jpg

Jee unahisi uturuki inaweza kweli kuikalia kijeshi eneo la kaskazini ya iraq pamoja na syria
 
Na usisahau pia kwamba hao Uturuki nyuma yao wapo Wamarekani na ndani ya ushirikiano huo huo wa Wamarekani pia wapo Waisraeli ambao wana Uadui mkubwa na Syria pamoja na Iraq hivyo kama patakuwa na mashambulizi yoyote kutoka kwa Waturuki kwenda katika hizo nchi itakuwa ni ushindi na mafanikio makubwa kwa Israeli ambao nao sasa katika wale maadui zao wakubwa huko Middle East Iraq na Syria wapo bila kuwasahau Iran na Lebanon.
 
Syria.... Iraq. Waturuki wanataka kuingia kwenye magofu!
 
America ndiyo inayowapa kiburi Wakurd, haitoruhusu ardhi ya Iraq ichukuliwe na Uturuki
 
Back
Top Bottom