Jamani hongera sana wakuu Neggirl na Milcah28 inatia moyo sana kuona matokeo mazuri. Hata mimi napenda sana kuku sijui kwanini hata kujaribu biashara zingine sipendi labda niajifunze kutumia product zake kama nyama na mayai kupika vitu na kuuza. Kuku wamenilea na hata nipate kazi nzuri vipi huwa siachi kufuga ingawa kutanuka ndio taratibu sana. Mungu awatie nguvu wafugaji na mkue na kutanuka