hongeraaa swali lako naona umeuliza ukiwa umeisha mnyang'anya mmoja vifaranga. Kwa kuangalia, je mama ana umbo la kuwafunika wote bila shida? Kama hapana waongezee joto. Ingawa si mtaalamu sana kwa hawa ila ukiwa nao karibu watapona tu. Karibu mammy
mnyang'anye huyo mama vifaranga,tafuta mabox mawili,moja kubwa la vifaranga kushinda mchana na jingine dogo sana ambalo watakuwa wanalala usiku,ikipita wiki moja hamna haja ya kuwawekea joto,joto lao wenyewe linatosha,kitu cha msingi ni kuwapa chick starter na vitamin,hii itakusaidia kuku wako arudi kweny kutaga haraka
hongeraaa swali lako naona umeuliza ukiwa umeisha mnyang'anya mmoja vifaranga. Kwa kuangalia, je mama ana umbo la kuwafunika wote bila shida? Kama hapana waongezee joto. Ingawa si mtaalamu sana kwa hawa ila ukiwa nao karibu watapona tu. Karibu mammy
Mama Joe, mm vfaranga wangu wanakufa balaa naomba msaada wa nn cha kufanya kuepusha vfo... kila nkienda kuwacheki cfarijiki...
pole sana ni aina gani? Umewatenga peke yao au? Check floor haitishi unyevu au ubichi? Ila unatakiwa uwape glucose, cotrim, amintotal au broiler booster kwenye maji na chakula kiwe starter tu. Unawalisha nini?
Hureeeeeee
Wafugaji wenzangu leo nina furaha sana..katika safari hii ya ufugaji wa kuku wa kienyeji niliyoanza mwezi wa nane mwaka huu.
Leo nimefanikiwa kupata vifaranga 23. Mpango nilionao ni kuwa vifaranga hawa walelewe na mama mmoja (wameanguliwa na mama wa wawili). Huu ni ujuzi niliojifunza katika uzi wa Kubota. Hofu yangu kubwa: je mama mmoja ataweza kuwatunza na kuwapatia joto vifaranga hawa bila nyongeza ya joto la jiko au taa?
pili..kwa ufahamu niliopata kwa kujisomea vifaranga wanahitaji chakula starter, glucose, antibiotic..na baada ya siku 7 chanjo ya new castle ikifatiwa na gumboro baada ya siku 14.
tafadhali wapendwa wafugaji naombeni jibu kwa swali la kwanza..na sehemu ya pili naomba kama kuna jambo lingine naweza kufanya kwa ajili ya uhai wa vifaranga hawa..
Plziiiiiii njooni Chasha Poultry Farm Mama Joe Kubota GAZETI.. atal
Update..
Heri ya mwaka mpya wajasiriamali. Nashukuru Mungu nimeuona.. na hii ndio update ya kuku wangu. Vifaranga wamekua sana mwezi mmoja na wiki kadhaa, nimejifunza mengi.. na kwa sasa nina changa moto ya ugonjwa(Nakazana na matibabu kwa sasa), but sikati tamaa.
Hongera kiongozi, ila napenda kukushauri kitu kimoja kama una umeme tengeneza kibanda ambacho hakiingizi baridi uwe unavitunzia huko na hao mama zao rudisha kwa jogoo waendelee kutaga. Kwanza ni economical kwa sababu ukimruhusu kuku awalee hao vifaranga atakuwa anamwaga chakula hovyo hovyo. Ila kama ni vifaranga peke yao vinakuwa na displine.Hureeeeeee
Wafugaji wenzangu leo nina furaha sana..katika safari hii ya ufugaji wa kuku wa kienyeji niliyoanza mwezi wa nane mwaka huu.
Leo nimefanikiwa kupata vifaranga 23. Mpango nilionao ni kuwa vifaranga hawa walelewe na mama mmoja (wameanguliwa na mama wa wawili). Huu ni ujuzi niliojifunza katika uzi wa Kubota. Hofu yangu kubwa: je mama mmoja ataweza kuwatunza na kuwapatia joto vifaranga hawa bila nyongeza ya joto la jiko au taa?
pili..kwa ufahamu niliopata kwa kujisomea vifaranga wanahitaji chakula starter, glucose, antibiotic..na baada ya siku 7 chanjo ya new castle ikifatiwa na gumboro baada ya siku 14.
tafadhali wapendwa wafugaji naombeni jibu kwa swali la kwanza..na sehemu ya pili naomba kama kuna jambo lingine naweza kufanya kwa ajili ya uhai wa vifaranga hawa..
Plziiiiiii njooni Chasha Poultry Farm Mama Joe Kubota GAZETI.. atal
Update..
Heri ya mwaka mpya wajasiriamali. Nashukuru Mungu nimeuona.. na hii ndio update ya kuku wangu. Vifaranga wamekua sana mwezi mmoja na wiki kadhaa, nimejifunza mengi.. na kwa sasa nina changa moto ya ugonjwa(Nakazana na matibabu kwa sasa), but sikati tamaa.
mkuu asante sana kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi. PamojaHongera kiongozi, ila napenda kukushauri kitu kimoja kama una umeme tengeneza kibanda ambacho hakiingizi baridi uwe unavitunzia huko na hao mama zao rudisha kwa jogoo waendelee kutaga. Kwanza ni economical kwa sababu ukimruhusu kuku awalee hao vifaranga atakuwa anamwaga chakula hovyo hovyo. Ila kama ni vifaranga peke yao vinakuwa na displine.